Kwaheri UDSM

Professor of jungle

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
422
Reaction score
802
maisha ya chuo nasupport ndogo ya mzazi,nyakati zimekuwa ngumu sana nimeamua kuachana na chuo rasmi, inaumiza lakini hakuna jinsi siwezi fahamu kipi kitatoke baada ya hapa cha msingi kuendelea kupigana, as they say life begin after school.namimi naanza maisha ya mtaa rasmi. bye bye udsm.
 

pole sana mkuu. ulichosema namkumbuka mwalimu wangu mmoja aliwahi tuambia cku moja class kuwa, shida mnazozipata shuleni hapa ni kutokana na umaskin wa wazaz wenu hivyo mnatakiwa kusoma kwa bidii ili na watoto wenu baadae wasije laumu kuwa tunapata taabu kutokana na umaskin wa wazaz wetu, take care japo maisha hayana fomula maana cku iz aliyesoma anakuwa tu tegemez afu walioishia la nne wanatusua yu kitaa. warning: iga uone cha moto kila mtu na ridhik yake.
 

siwezi kukupa pole .tatizo vijana mnafikiri .kwamba chuo ndio kila kitu ktk maisha.maisha ni kupata mahitaji ya kila siku kwa kiwango unachoridhia.na hakuna role yotote inayosema lazima usome ndio ufanikiwe.just you effort ,elimu ya kitanzania ni elimu kandamizi inayo lenga kuharibu self mobolization.na kuwafanya watu wawe tegemezi na watumwa wa elimu nadharia.
 
Usijejiroga ukaacha chuo kwa kisingizio cha maisha magumu..
Hayo hayo maisha magumu na mtaa ni the same situation ...cha kukushauri postpone mwaka.
 
Ni maamuzi mazuri ,,,.....yasimamie hayo uliyoafiki.
 
hairisha mwaka wa masomo mambo yakikaa sawa utarudi kumalizia. asikudanganye mtu, elimu ni muhimu sana hata kama una hela
 
Umetisha mkuu kama ameamua mwenyewe akaanze maisha ni vizuri ila kama kashauriwa afanye hivyo kapotea
"KIla lakheri pambana na kitaa"
 
Umechagua fungu jema, pigana sana then rudi class au fanya online au open zote ni elimu tu. Asikudanganye mtu
 
dah pole sana ndugu ila postpond mwaka then mwkn rud shule
 

Naomba ni inbox Mkuu.... Tusaidane
 
Mwisho Wa chuo siyo mwisho Wa maisha wenzako tuliishia darasa la NNE Mwaka 2000 mpaka Leo tunaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…