Zanzibar 2020 Kwaheri ya kuonana CCM

Hii ya wafanyakazi wa Zanzibar kupiga kura tarehe 27.10.2020 badala ya 28.10.2020 inatakiwa iangaliwe upya japo iko kwenye utaratibu wa ZEC.
Watapiga siku zote mbili yaani tar 27 na 28 October tuone huyo Jamshed wenu Kama atatoboa.
 
HAPA KILICHOBAKI NI KUTENGENEZA SEREKALI YA MSETO TU LAKINI SI KIACHIA NCHI HII MOJA KWA MOJA
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.

TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Babu ndo ataing'oa CCM ?
Yule unaemwita babu yy kafanya mikutano mikubwa 25 yule raiya wa mkuranga kafanya mikutano saba Zanzibar nzima ikiwemo unguja na pemba lkn mpaka watu wabebwe na malori na waoewe sh 5000 ili watu wakajaze vichwa na wengine huletwa kutoka bara kwa meli za bakharesa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hii ya wafanyakazi wa Zanzibar kupiga kura tarehe 27.10.2020 badala ya 28.10.2020 inatakiwa iangaliwe upya japo iko kwenye utaratibu wa ZEC.
Maalim kashawambia watu wote watakwenda wenye kazi na wasiyo na kazi tutaonana alfajiri ktk vituo tarehe 27 na 28

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Maalim apati kitu na akibweka saana basi umakamu wa Rais wa kwanza utamuhusu,amalizie maradhi yake ya sukari kwa miaka mitano,akamiliza hiyo mitano atupishe.
wembe ni uleule.
Maalim kafanya mikutano mikubwa 27 mpaka sahivi lkn yule raiya wa mkuranga kafanya 7

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Na, ajabu, sasa wao ndo wako mstari wa mbele kuua mitaji ya ndani na sekta binafsi! ... yaani mi siwaelewi kabisa!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Zanzibar ya upinzani hoja kadhaa eti...
Skuli zote zitakua za ghotofa
Nitafuta madeni yote...
Dah, babu kachoka kwa kweli maana hapa hata mtoto wa darasa la pili B humdanganyi..
Umma uliochoka na mtawala dhalimu huwa hata hausikilizi Sera tena, bali muda wote unachotaka ni maneno hata ya uongo, kama faraja, kutoka kwa "MKOMBOZI"!
 
Chaguo la Wazanzibari ilikuwa na Dr. Khamisi na Dr. Khakid...... Mwinyi hakubaliki vibaya mno!... Hata Unguja tu thid time Seif atashinda kwa more than 60%. Pemba 95%..... Mwinyi alibebwa na familia yake but hana mvuto wa kisiasa afu mbaya zaidi Zanzibar hawamjui kabisa
 
Wamesema maalum lkn watu wote wenda 27 hakuna kulemaa kwani wataka waibe hapo hapo ukiwaachia pekeyao

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Nilifikiri mawakala wa vyama wanatakiwa wawepo hata hiyo tarehe 27.10.2020 na kura zihesabiwe kwa siku hiyo ili wasije wakashindilia kura nyingine.
 
Ha ha ha, baada ya Oct 28 urudi hapa kiwaaga Lissu atakuwa anarejea kwao Ubelgiji kwa aibu kubwa.
Mlisema hawezi kurudi nyumbani kwamba anaenda kuishi ukimbizini Norway, huyu anayewanyanyasa leo naona sio yeye ni mzimu wake tu.
 
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…