skukuu lazima nguo mpya........mshanunua kwanza au mnataka kwenda kwa kina mwanahewa na chausiku na magwanda yaliyotumika muda mrefu! :confused2:
skukuu lazima nguo mpya........mshanunua kwanza au mnataka kwenda kwa kina mwanahewa na chausiku na magwanda yaliyotumika muda mrefu! :confused2:
Mwalimu Gaijin "mtumba" unakua applicable hapo kwenye RED? :confused2:
Mkuu magwanda ni nini? Au ni zana?
hahaha kimey ........nimeteleza hapo kidogo ................nilitakiwa kuandika 'nguo mpya kwako'. Manake hata ule mtumba unakuwa sawa na mpya tu au :smile-big:
Luv, hayo magwanda mapya unayoongelea, mengine yanafuliwa kila siku na yanaonekana mapya tu, sasa sijui utajuaje hili ni jipya ama la zamani ukichukulia kuwa hayaweki alama kama yametumika labda uwe umepita msitu wenye miba:confused2::A S 8:
zana ipi? unaenda kupigana kwani huko? lol:glasses-nerdy:
magwanda ni zile nguo unazovaa kila siku ukienda kufanya kazi ya kupunguza kiwango cha mavumbi barabarani 🙂
skukuu lazima nguo mpya........
Mkuu kwani ukienda guest house kukutana na mwingine na kuwajibika si lazima uwe na kinga?
aaa nguo uliyoizowea inajuulikana tu ......unakuwa very much at ease ukiitinga na nguo mpya lazima itakuwa bado haijafanana na contour za mwili wako! lol
mie nikivaa nguo mpya huwa najitizama tizama hivi ..................tabia hii nnayo mie tu ee? :confused2:
kinga haina mjadala, lazima iwe mpya all the time, itolewe kwenye box lake eneo la tukio.
lakini sio guest tu, hata vichakani, vichochoroni na ufukweni lazima itumike........na ikilazimu hata kwa mama watoto pia ( kupanga uzazi) :becky:
(sorry off topic)
aaa nguo uliyoizowea inajuulikana tu ......unakuwa very much at ease ukiitinga na nguo mpya lazima itakuwa bado haijafanana na contour za mwili wako! lol
mie nikivaa nguo mpya huwa najitizama tizama hivi ..................tabia hii nnayo mie tu ee? :confused2:
Hivi kumbe ndo mlifikia huku? Anyway mi bado niko bize nachakachua macho yangu! Mpaka kieleweke leo![/QUOTE]
Ikibidi hata kwa Binocular!
teh.....teh......Gaijin:kufuli mpya je, inakuwaje?
Mi nilivyoona unaaga, nikajua kiuno kimeumana So utakuwa kwa physio for the whol weekend, aki do ze nidiful hasa maeneo ya bayolojia, duhkumbe mambo ya Eidd tena, siye tumeuona mwezi tangu jumatatu!:coffee::yield::A S 41::A S 41::violin::violin:
On a serious note, nawatakia Waislam wote Idd NJEMA pia! Tusherehekee kwa amani na utulivu , mi nasubiri mwaliko tu, NANI atakuwa wa kwanza kunialika?
Hii ni of topic... unataka :ban:? Haya mara moja....:focus: