Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
enheee kesho yake ikawajekama ni hiyo tuwe makini kuna jamaa walitupitia bar moja tabata wakatangaza anaetaka kufa akae kushot anaetaka kuawitiwa akae kulia huku ukiacha kila kitu cha mkononi mfukoni mezani uwezi kuamini karibu wote tulikimbilia kulia ;;;hawa jamaa wana makao yao tegeta so mnaokunywa huko mjiandae bahati wamemaliza kukusanya vitu wakadai wameshau condom watarudi kesho wakaondoka wa tabata mnajua hili ...wazee walitokea tegeta mwisho tena wastarabu