Kwaherini ndugu zangu.....Mola akijaalia tutaonana!

Ikibidi hata kwa Binocular!

You Can Say That Again! Hapa nimeshalonga na meneja wa Zero pub aweke stock ya kutosha.... Manake jogoo awike asiwike kesho ni sikukuu ya IDI!
 
asprin mwezi unautafuta mchana? hapo kama itabidi utumie binocular ya rangi nyeusi hivi! :confused2:

Ishu ni mwezi kuonekana leo. Iwe mchana au usiku, jioni au alfajiri, adhuhuri au alasiri. Lazima kieleweke....TAKUKURU naomba mnilinde tafadhali!
 
Ha ha ha... Asprin sema wewe hutaki kwenda kazini kesho na kesho kutwa... LOL...
 
You Can Say That Again! Hapa nimeshalonga na meneja wa Zero pub aweke stock ya kutosha.... Manake jogoo awike asiwike kesho ni sikukuu ya IDI!

teh.....teh.......teh.......usisahau,kuwakumbusha wakeep change!!!!!!!!!!
 
Luv, hayo magwanda mapya unayoongelea, mengine yanafuliwa kila siku na yanaonekana mapya tu, sasa sijui utajuaje hili ni jipya ama la zamani ukichukulia kuwa hayaweki alama kama yametumika labda uwe umepita msitu wenye miba:confused2::A S 8:
:confused2::confused2::confused2::noidea::noidea::noidea::help::help::help:πŸ˜›eep:πŸ˜›eep:πŸ˜›eep::hurt:
 
Ha ha ha... Asprin sema wewe hutaki kwenda kazini kesho na kesho kutwa... LOL...

Mkulu Tusker nimeachana nayo baada ya kuchakachuliwa na serengeti hivi bado unaendelea nayo tu mkuu?:focus::focus:
 
Ha ha ha... Asprin sema wewe hutaki kwenda kazini kesho na kesho kutwa... LOL...

Siyo kwmba sitaki. Hii ni Labour Law kuwa siku za public holidays watumikishwa kazi wanakuwa mapumziko!! Eid el Fitr ni PUBLIC HOLIDAY kwa mujibu wa katiba ja Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hisani ya watu wa marekani.:welcome:
 
:confused2::confused2::confused2::noidea::noidea::noidea::help::help::help:πŸ˜›eep:πŸ˜›eep:πŸ˜›eep::hurt:

usaidiwe kitu gani? ....kuna tatizo la tarakishi au kuna tatizo la kimaana?
 
:confused2::confused2::confused2::noidea::noidea::noidea::help::help::help:πŸ˜›eep:πŸ˜›eep:πŸ˜›eep::hurt:

πŸ˜›lane:πŸ˜›lane:πŸ˜›lane::A S-heart-2::bathbaby::bathbaby::thumb:halafu wewe unahotaji :ban::ban:kama ya Acid hapa
 
fidel ................ee nimekusudia kila kitu kipya, mpaka wa kwenda nae bar awe mpya :confused2:
 
πŸ˜›lane:πŸ˜›lane:πŸ˜›lane::A S-heart-2::bathbaby::bathbaby::thumb:halafu wewe unahotaji :ban::ban:kama ya Acid hapa
Hhahahaha! hommie bana! naona ulikuwa unafanya lojistiksi za:A S-heart-2: mi nakupa :thumb: badaye ntaku:cell: unipe feedback. Kwa sasa ngoja ni :tape2: kukwepa hii kitu:ban: asee. kwa sasa ngoja nirudi :focus:
 
Kwani umeharibu wapi Hommie lol:becky::becky::becky:
name calling hommie... "Mwenye nyumba" ni name calling kwa mujibu wa sheria za JF kwa msaada wa watu wa Obama!
 
name calling hommie... "Mwenye nyumba" ni name calling kwa mujibu wa sheria za JF kwa msaada wa watu wa Obama!

ohooo...ngoja sasa upewa ya mpaka jumatatu lol
 
Ishu ni mwezi kuonekana leo. Iwe mchana au usiku, jioni au alfajiri, adhuhuri au alasiri. Lazima kieleweke....TAKUKURU naomba mnilinde tafadhali!

Binamu huu mwezi usipoandama leo nakata rufaa naona umedhibitisha !!!
 
Binamu huu mwezi usipoandama leo nakata rufaa naona umedhibitisha !!!
Nani alikudanyanya hautaandama? Mwezi NI LAZIMA narudia tena LAZIMA uandame leo!
 
Nani alikudanyanya hautaandama? Mwezi NI LAZIMA narudia tena LAZIMA uandame leo!

Pole sana kunywa asprin naona homa ya malaria imekupanda sana:becky::becky::becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…