Hapa JF pia sitakuwepo mpaka JUmatatu, Inshalla Mola akijalia...Naomba mniweke kwenye SALA zenu ili niweze kuuona mwezi vizuri LEO na wala si KESHO!
Asprin si dawa ya malaria mkulu wangwe!
Wapi swahiba wangu klorokwini?
Mi kesho banda langu la kitimoto nalifungua. Nshatoa oda waniletee nyama.
Dont tell me kwamba mwezi hautaonekana:confused2:
Kwani umeharibu wapi Hommie lol:becky::becky::becky:
Mi kesho banda langu la kitimoto nalifungua. Nshatoa oda waniletee nyama.
Dont tell me kwamba mwezi hautaonekana:confused2:
Leo ni ramadhani ya 28 tuvute subira mwezi utaonekana kesho Idd iwe Ijumaa
Kwa mujibu wa macho yangu ambayo yanaaminika katika jumuiya nzima ya afrika mashariki na kati, na kwa msaada wa watu wa marekani....Leo saa mbili na dakika 27 mwezi utaonekana! Nawatakieni Idi Mubaraka!
Mpwa mbona unakatika katika hewani?πopcorn:
Ameen!
Nawe BWANA YESU akutangulie na safari yako!
Mikitaboloki, Engai Engoitoi-Ashee Oleng!
ndiyo nini hiyo tenangoja uje tupumbuzike...!
eid njema anyway..!
Unaenda mweziniπ)) Haya Eid njema kidonge cha aspirini...Mie pia nina long weekend na pumpkin wangu pembeni!!!