Kwaherini ndugu zangu.....Mola akijaalia tutaonana!

Wapenzi tusaidieni Idd ni lini ?mnapofungua nyie na sisi tunapumzika..
Nawashukuru ndugu zetu waliofunga nimepata mialiko kibao na imebidi niorodhesha nianzie wapi nimalizie wapi.
Asprin usinisahau katika ufalme wako:cheer2:
 
Karibu mama! Mwezi umeshaonekana. Tatizo hamjawastukia wakoloni wenu.....Wameuficha kwenye briefcase zao ili wawatumikisheni siku ya mapumziko..

Karibu Zero Pub hapa tukamate makange, kokoto tukisukumia na serengeti za baridi:welcome::welcome::welcome:
 
Yaani hapa navowaambia nimekesha maeneo ''nafungulia''!.....
mkoloni ananibipu sijui ana maana gani!simpigii simu mpaka jumapili jioni.
 
Karibu sana leo kibaruani.. Pole sana Kiongozi.
 
Pole ya nini kiongozi? Kuandama kwa mwezi au kwa long weekend?

Nami naungana na Dreamliner kukupa pole kwa kurudi kibaruani tena leo....! Bado pia tunaenjoy promotions za kupiga simu bure usiku baada ya dakika ya kwanza.......!
 
hivi...................?!
aaaammmm nikimcall mary nikaaaa aaam hick hick!nikamwambia aniandalie ''mdudu wa porini'' HICK HICK

itakuwaje?...
kwani?
munisi HICK HICK service yake itasubiri mwezi wa MASKATI?
 
Yaani hapa navowaambia nimekesha maeneo ''nafungulia''!.....
mkoloni ananibipu sijui ana maana gani!simpigii simu mpaka jumapili jioni.

Acha mambo ya kufungua kabla ya wakati wewe.....!
 
Nami naungana na Dreamliner kukupa pole kwa kurudi kibaruani tena leo....! Bado pia tunaenjoy promotions za kupiga simu bure usiku baada ya dakika ya kwanza.......!

Hahahaha! wapi homeboi Kimey?

Wewe na Dreamliner ni wafanyakazi au watumishi? Kwanza tuanzie hapo............:confused2::confused2:
 
Karibu sana leo kibaruani.. Pole sana Kiongozi.

Nami naungana na Dreamliner kukupa pole kwa kurudi kibaruani tena leo....! Bado pia tunaenjoy promotions za kupiga simu bure usiku baada ya dakika ya kwanza.......!
KWANIIIII!
eeeeeh hick hick za kusurf mitandao ni lazima uwe ofisini???
mbona mimi niko KEREGE hapa kaunta na mtoto mary-m na ninaendelea ku hick hick na mitandao?

by the way HABARI ZA DAslamu huko?
halafu msiniambie kwamba huko dar mwezi haujaandama jamani?!
 
hivi...................?!
aaaammmm nikimcall mary nikaaaa aaam hick hick!nikamwambia aniandalie ''mdudu wa porini'' HICK HICK

itakuwaje?...
kwani?
munisi HICK HICK service yake itasubiri mwezi wa MASKATI?

Hick! Hick! Hick!!!! Sasa yule kaunta hick hick takuwa lesbian yule hick hick! mbona anabania hick hick infiii na hick hick na Meri bana? Hick!
 
Aaaaam hick! unajua hick hick hick! amm huko daslam hick yale magorofa ya kina manji hick hick yamezuia hick watu ammmm eeeem wasione mwezi.... Sisi huku mapinga hick hick mwezi tuliuona saa hick mbili na hick hick dakika 27.... kama wanabisha ammmm wapige ammm 999 kuuliza...

Ammmmm hick! wapi kaizer, maskini jeuri, kimey, acid hick hick! laputopu zao hazikamati hick hick siku za mapumziko... ammmmmm:confused2::confused2:
 
Huku dasalam bado Mkuu! Mi niko mzenga nasafu.
 
Hick! Hick! Hick!!!! Sasa yule kaunta hick hick takuwa lesbian yule hick hick! mbona anabania hick hick infiii na hick hick na Meri bana? Hick!
hahahahaha!
aaaammm Hick Hick!!!! sasa HIck hick TERESIA hata mimi hapana HICK HICK jua yeye na maana gani HICK HICK!
aidia ni kuanza na yeyeye kwanza then HICK HICK nitakukabidhi kijiti uendelee nacho kukiki mbiza ukimaliza mpe osheniki,then muhasibu na dokta wote wamuonje LESBIAN!

mean while nitakuwa nimeshamalizana na mery then nakukabidhi!
EEEEE UNAJUA HICK HICK!infidelity ni kama mbio za kupokezana vijiti si unakumbuka?
 
Mkuu mbona umeonekana wakati ulituaga mpk jumatatu? anywayz hiyo zero pub ni ile ya tegeta niijuayo mimi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…