Kwaherini ndugu zangu.....Mola akijaalia tutaonana!


Hivi Teamo, hawa lesbians si ndio nasikia kuwa ukimboa tu, anakugeuzia kibao????
 
mkuu mbona umeonekana wakati ulituaga mpk jumatatu? Anywayz hiyo zero pub ni ile ya tegeta niijuayo mimi au?

kama ni hiyo tuwe makini kuna jamaa walitupitia bar moja tabata wakatangaza anaetaka kufa akae kushot anaetaka kuawitiwa akae kulia huku ukiacha kila kitu cha mkononi mfukoni mezani uwezi kuamini karibu wote tulikimbilia kulia ;;;hawa jamaa wana makao yao tegeta so mnaokunywa huko mjiandae bahati wamemaliza kukusanya vitu wakadai wameshau condom watarudi kesho wakaondoka wa tabata mnajua hili ...wazee walitokea tegeta mwisho tena wastarabu
 
Hivi Teamo, hawa lesbians si ndio nasikia kuwa ukimboa tu, anakugeuzia kibao????
hahahaha!
inategemea sasa....!
ukijilegeza anakusokomezea ''kigogo'' kwa nyuma
 
Haya ASPIIN mimi naona umeamua kuforce KINGI. Haya bwana EID NJEMA!!
 
Mkuu mbona umeonekana wakati ulituaga mpk jumatatu? anywayz hiyo zero pub ni ile ya tegeta niijuayo mimi au?
Karibu tegeta mamaa la bataflai! Tukamate kokoto na biere pale zero pub:welcome:
 
Halina Mjadala hili hommie....Mkoloni atalijua hili nini tofauti ya "mtumishi" na "mfanyakazi!!:violin:......mi nakuuupa mkono wa Idd.....nakupaaa mkono wa Idd...
hahahaaaa!! watumishi ndo hawatauona mwezi sio.....
 
Sasa unamuaga nani ukijua fika namimi nitakuwa mtaani hiyo kesho?
 
Ah Babu yangu kwa kweli umechoka naomba nikupe ofa ya kinywaji weekend hii babu maana umenichekesha sana leo mjukuu wako.
Haya kila la kheri kama utauona mwezi babu yangu.
 
Ah Babu yangu kwa kweli umechoka naomba nikupe ofa ya kinywaji weekend hii babu maana umenichekesha sana leo mjukuu wako.
Haya kila la kheri kama utauona mwezi babu yangu.

Halafu weweeeeeeeee! Haya bana! Kumbuka Ahadi ni deni na dawa ya deni ni kulipa!!
 
Lahaula walauqwata! ...ona sasa nimepaliwa na uji! :coffee:
Hapa kwetu Kimanzi Chana-Mkamba "sentensi" hiyo haitamkwi ukweni bana,...

ha ha..nilimaanisha mwana-apollo si vinginevyo!!..huko ukweni kuna masharti kwelikweli!!..Eid njema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…