KWAHERINI SIMBA MASHINDANO YA CL Africa,

KWAHERINI SIMBA MASHINDANO YA CL Africa,

Asante mwana YANGA ivi mshalipa mishahara ya wachezaji
 
Oooh kwaa mkapa awatoki...ooh kila mtu ashinde kwake..leo CAF walikuwepo hadi kwenye vyoo ,zile vumba zenu mkapulizie sisimizi.
 
Hawa watu wana mdomo sana aisee nimefurahi sana!!
We endelea kufurahi club bingwa tupo sana, shirikisho ndio usiseme ukirudi ligi kuu msimu huu km kawa, kule kwenye kombe la azam lazima mkalishwe na azam. Nyie fani yenu bakuli tu this time njooni hadi kwenye foleni za magari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vyura wanateseka utadhani wao ni Mazembe.Hebu leteni bakuli hilo niwawekee hata mifupa ya mnyama ngedere mhangaike nayo.
 
We endelea kufurahi club bingwa tupo sana, shirikisho ndio usiseme ukirudi ligi kuu msimu huu km kawa, kule kwenye kombe la azam lazima mkalishwe na azam. Nyie fani yenu bakuli tu this time njooni hadi kwenye foleni za magari

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu chaajabu hatujafungwa tumedraw sasa wanachowashwa hawa jamaa zetu sijui nini...wanakuwa kama mwanamke Malaya mume siyo wako unamkatikia Mauno...... pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom