Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmejitahidi sana, ndio nguvu zenu zilipoishia.
Nawaona mkifungwa 3+ mkienda congo,mmeshndwa kuutumia uwanja wa nyumbani_
hiyo hela ya bia fanya kunifowadia mpesa mkuu,npo dar
Bro nijuze matokeoMmejitahidi sana, ndio nguvu zenu zilipoishia.
Nawaona mkifungwa 3+ mkienda congo,mmeshndwa kuutumia uwanja wa nyumbani_
Unaikana timu yako inayokojolewa kila siku na kina lipuliBro nijuze matokeo
We endelea kufurahi club bingwa tupo sana, shirikisho ndio usiseme ukirudi ligi kuu msimu huu km kawa, kule kwenye kombe la azam lazima mkalishwe na azam. Nyie fani yenu bakuli tu this time njooni hadi kwenye foleni za magariHawa watu wana mdomo sana aisee nimefurahi sana!!
Alafu chaajabu hatujafungwa tumedraw sasa wanachowashwa hawa jamaa zetu sijui nini...wanakuwa kama mwanamke Malaya mume siyo wako unamkatikia Mauno...... pumbavuWe endelea kufurahi club bingwa tupo sana, shirikisho ndio usiseme ukirudi ligi kuu msimu huu km kawa, kule kwenye kombe la azam lazima mkalishwe na azam. Nyie fani yenu bakuli tu this time njooni hadi kwenye foleni za magari
Sent using Jamii Forums mobile app