Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Jikiteni kwenye TPL.Mnatumia nguvu nyingi kusumbua akili kushadadia mambo ambayo yamewazidi kimo kwa sasa.Mmejitahidi sana, ndio nguvu zenu zilipoishia.
Nawaona mkifungwa 3+ mkienda congo,mmeshndwa kuutumia uwanja wa nyumbani_
Wakijite ili wapate nini,mechi zimebaki 9 wakitegemea Simba afungwe mechi 3 na draw 1. Huo ni ujuhaJikiteni kwenye TPL.Mnatumia nguvu nyingi kusumbua akili kushadadia mambo ambayo yamewazidi kimo kwa sasa.
👍🏿👍🏿👍🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿Unaikana timu yako inayokojolewa kila siku na kina lipuli
Wawaliwaze mashabiki wao ili angalau waendelee kuchanga hizo "chuma bee bee" aka mia mbili mia mbili ili Zahera asitoroke njaa.Wakijite ili wapate nini,mechi zimebaki 9 wakitegemea Simba afungwe mechi 3 na draw 1. Huo ni ujuha
Ndiyo iliyokuletea uhuru Tz ndiyo maana inaitwa timu ya wananchiTimu inaomba hadi bungeni nendeni mkalime nchi inamapori ya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nkajua leo mtashinda,maana mlituaminisha sana 100% ,Na ule usemi wenu wa Waarabu walikaa na Nkana alikaa Mazembe nan bhana asikae?,Chura punguzeni vituko na wenu uhayawani, mnazua sokomo watu hawawaeleweni!
100% in Lubumbashi Mechi itakuwa 2-2 and TP Mazembe OUT..... ni wepesi sana!
Hata watu wanaoishi nairobi kenya ni wananchi kwa iyo usiogope kusema wananchi wa Matopeni, uhuru imewaletea nyie hatimae sasa bakuli rasmi hadi bungeni..Ndiyo iliyokuletea uhuru Tz ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi
Kocha wa Simba hakusema maneno hayo wewe ni muongo, maneno ya msemaji wa TP Mazembe yalikuwa ya kocha hivyo tafuta kocha wa Simba alisema nini na uache ubazazi.tunajua simba ni timu nzuri,na inafanya vizuri ikiwa nyumbani tunachoenda kufanya ni kucheza kwa umakini maana simba ni wazuri (msemaji wa tp mazembe),mwenzangu na mimi tp mazembe hatoki uwanja wa mkapa..analambishwa 3 bila...na ile kampeni yao clouds eti vita imekaa..nkana imekaa...yeye ni nani asikae...?this is football my comrade simba.kungelikuwa na uwezo tukawabadilisha jinsia taifa queen wakachukua nafasi za akina boko na wengineo kama chama ..mambo yangekwenda.
Anaugulia maumivu ya kutoa magaga kwenye miguu yakeKwa mliokaribu na yule aliyetoka mbeya anajisikiaje na matokeo haya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie endeleeni tu kuhangaika na simba.
BAKULI NDO KWANZA LINA BUKU JERO.
Sent using Jamii Forums mobile app