KWAHERINI SIMBA MASHINDANO YA CL Africa,

Simba ikiaga mashindano kutaifaidisha nini Yanga? Au wameambiwa watapewa sehemu ya mgao wa Simba kutoka CAF?
 
Samahani lakini
20190406_201705.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunajua simba ni timu nzuri,na inafanya vizuri ikiwa nyumbani tunachoenda kufanya ni kucheza kwa umakini maana simba ni wazuri (msemaji wa tp mazembe),mwenzangu na mimi tp mazembe hatoki uwanja wa mkapa..analambishwa 3 bila...na ile kampeni yao clouds eti vita imekaa..nkana imekaa...yeye ni nani asikae...?this is football my comrade simba.kungelikuwa na uwezo tukawabadilisha jinsia taifa queen wakachukua nafasi za akina boko na wengineo kama chama ..mambo yangekwenda.
 
Chura punguzeni vituko na wenu uhayawani, mnazua sokomo watu hawawaeleweni!
100% in Lubumbashi Mechi itakuwa 2-2 and TP Mazembe OUT..... ni wepesi sana!
 
tunajua simba ni timu nzuri,na inafanya vizuri ikiwa nyumbani tunachoenda kufanya ni kucheza kwa umakini maana simba ni wazuri (msemaji wa tp mazembe),mwenzangu na mimi tp mazembe hatoki uwanja wa mkapa..analambishwa 3 bila...na ile kampeni yao clouds eti vita imekaa..nkana imekaa...yeye ni nani asikae...?this is football my comrade simba.kungelikuwa na uwezo tukawabadilisha jinsia taifa queen wakachukua nafasi za akina boko na wengineo kama chama ..mambo yangekwenda.
Kocha wa Simba hakusema maneno hayo wewe ni muongo, maneno ya msemaji wa TP Mazembe yalikuwa ya kocha hivyo tafuta kocha wa Simba alisema nini na uache ubazazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom