[emoji23][emoji23]Si mlisema kwa mchina hata iunganishwe nguvu ya Messi na CR 7 bado hatoki Mtu bila ya kufungwa, so juzi alitoka nyani pale kwa Mchina[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakaa mapema tu....Mmejitahidi sana, ndio nguvu zenu zilipoishia.
Nawaona mkifungwa 3+ mkienda congo,mmeshndwa kuutumia uwanja wa nyumbani_
Nani alisema.Ndiyo iliyokuletea uhuru Tz ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi
kwa aliyetazama mechi ya simba vs tp mazembe pale kwa mkapa, atakubaliana na mimi kwamba simba ya sasa inacheza mpira kwa kujiamini sana
Hivyo lelote linaweza kutokea pale lubumbashi.
Kwa hiyo ukiaminishwa unaamini? Huna akili zako hadi ziwepo za kushikiwa? Eti mlituaminisha!Mie nkajua leo mtashinda, maana mlituaminisha sana
Mbona hujasema simba na mbabaneukiangalia game ya simba na soura ya dar es salaam.. simba ilikuwa kali sana tofauti na simba na soura ya away.. simba na vita dar simba ilitisha sana.. simba na vita away simba ilikuwa ya kipuuzi sana.. simba ana al ahly ya dar ni tofauti sana na simba na al ahly ya misri..
simba na mazembe dar simba nzuri.. ila lubumbashi utashangaa simba watavyokuwa wapuuzi...
hii inasababisha watu tuamini wanapuliza dawa.. maana away anakuwa mzembe sana na pasi zake za kurudi nyumaa nyingiii
Umenena vyema kabisa mkuu, ila usichokijua ni kwamba ile ilikua ni plani ya michezo yetu kwenye hatua ya makundiukiangalia game ya simba na soura ya dar es salaam.. simba ilikuwa kali sana tofauti na simba na soura ya away.. simba na vita dar simba ilitisha sana.. simba na vita away simba ilikuwa ya kipuuzi sana.. simba ana al ahly ya dar ni tofauti sana na simba na al ahly ya misri..
simba na mazembe dar simba nzuri.. ila lubumbashi utashangaa simba watavyokuwa wapuuzi...
hii inasababisha watu tuamini wanapuliza dawa.. maana away anakuwa mzembe sana na pasi zake za kurudi nyumaa nyingiii
[emoji23][emoji23] mkuu mbona hasira,tulia hivyo hivyo na karibu sana lubumbashi.Kwa hiyo ukiaminishwa unaamini? Huna akili zako hadi ziwepo za kushikiwa? Eti mlituaminisha!
Wala sio hasira, ila huwa nashangaa watu ambao huwa wanasema "tuliaminishwa". Ina maana hawawezi kufikiri independently[emoji23][emoji23] mkuu mbona hasira,tulia hivyo hivyo na karibu sana lubumbashi.
Sent from Nokia 7 Plus