KWAHERINI SIMBA MASHINDANO YA CL Africa,

kwa aliyetazama mechi ya simba vs tp mazembe pale kwa mkapa, atakubaliana na mimi kwamba simba ya sasa inacheza mpira kwa kujiamini sana

Hivyo lelote linaweza kutokea pale lubumbashi.
 
ukiangalia game ya simba na soura ya dar es salaam.. simba ilikuwa kali sana tofauti na simba na soura ya away.. simba na vita dar simba ilitisha sana.. simba na vita away simba ilikuwa ya kipuuzi sana.. simba ana al ahly ya dar ni tofauti sana na simba na al ahly ya misri..

simba na mazembe dar simba nzuri.. ila lubumbashi utashangaa simba watavyokuwa wapuuzi...

hii inasababisha watu tuamini wanapuliza dawa.. maana away anakuwa mzembe sana na pasi zake za kurudi nyumaa nyingiii
 
Simba anaenda kutoa sare tu moja moja kisha anapaki basi huyooooooo nusu fainali
 
ukiangalia game ya simba na soura ya dar es salaam.. simba ilikuwa kali sana tofauti na simba na soura ya away.. simba na vita dar simba ilitisha sana.. simba na vita away simba ilikuwa ya kipuuzi sana.. simba ana al ahly ya dar ni tofauti sana na simba na al ahly ya misri..

simba na mazembe dar simba nzuri.. ila lubumbashi utashangaa simba watavyokuwa wapuuzi...

hii inasababisha watu tuamini wanapuliza dawa.. maana away anakuwa mzembe sana na pasi zake za kurudi nyumaa nyingiii
Mbona hujasema simba na mbabane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiangalia game ya simba na soura ya dar es salaam.. simba ilikuwa kali sana tofauti na simba na soura ya away.. simba na vita dar simba ilitisha sana.. simba na vita away simba ilikuwa ya kipuuzi sana.. simba ana al ahly ya dar ni tofauti sana na simba na al ahly ya misri..
simba na mazembe dar simba nzuri.. ila lubumbashi utashangaa simba watavyokuwa wapuuzi...
hii inasababisha watu tuamini wanapuliza dawa.. maana away anakuwa mzembe sana na pasi zake za kurudi nyumaa nyingiii
Umenena vyema kabisa mkuu, ila usichokijua ni kwamba ile ilikua ni plani ya michezo yetu kwenye hatua ya makundi

Tulipanga tushinde mechi za nyumbani kwa njia yeyote, so ugenini tulikua tunawakilisha tu

sasa hatua ya robo fainal ni hatua ya mtoano, rejea mechi mbili za mbabane swallos na nkana, angalia simba ilikua na mentality gani

Tutakapoingia lubumbashi tutaenda na mentality tofauti na ile ya kwenye makundi.
 
Kwa hiyo ukiaminishwa unaamini? Huna akili zako hadi ziwepo za kushikiwa? Eti mlituaminisha!
[emoji23][emoji23] mkuu mbona hasira,tulia hivyo hivyo na karibu sana lubumbashi.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Wala sio hasira, ila huwa nashangaa watu ambao huwa wanasema "tuliaminishwa". Ina maana hawawezi kufikiri independently
 
Back
Top Bottom