Kwaherini wana JamiiForums wote

Kama siyo alphayo kidata basi mumwi
 
sijavurugwa kabisa lakini kuna wana jf wanachangia sana kuwa gawa wana jf
kivipi?embu tuongee swahiba wangu utulie.
Wakati mwingine kufunguka kunasaidia kuondoa mzigo moyoni,maisha yaendelea.
 
Ile thread ya KIPUUZI uliyopost kabla ya hii hata mimi ILINICHEFUA.

No wonder, ulipata MAJIBU uliyoyataka.

Jifunze KUHESHIMU wengine, na wewe utaheshimiwa.

Itikadi zako na kutumika kwako kusikufanye MJINGA.

JITAFAKARI.
Bora umeongea ndugu, huyu mtu anavojibu watu utafikiri mavi yani, nakumbuka thread za wakati lissu ameshambuliwa, nkawa nawaza huyu binadamu ama mnyama ...sasa hapa nashangaa anaaga au anatafuta sympathy...eti jf ina wenyewe...kwaio alitaka apost anavotaka yeye na kuongea maneno ya ovyo ovyo ya kuchefua watu anavyotaka yeye ?
 
kivipi?embu tuongee swahiba wangu utulie.
Wakati mwingine kufunguka kunasaidia kuondoa mzigo moyoni,maisha yaendelea.
ukishaanza kuendesha kitu chochote kwa misingi ambayo siyo ya kuanzishwa kwako lazima utegemee wengine kukaa kimya,wengine kuondoka nk sina zaidi.bye
 
Nenda salama Tramadol, hujawahi kunipa hata like Mkuu...!

Siioni faida yako kwa kweli, ila Mungu akutangulie huko huendako.
 
ukishaanza kuendesha kitu chochote kwa misingi ambayo siyo ya kuanzishwa kwako lazima utegemee wengine kukaa kimya,wengine kuondoka nk sina zaidi.bye
Sawa,ila fikiria tena,and welcome to jf.
Jf ni wewe na mimi,sio mods.
Tukiamua kuibomoa tunaibomoa,tukiamua kuijenga tunaijenga.
Hunijui,sikujui,lakini kakae unitafakari bro.
Thank you.
 
Lissu ana maumivu makali sana usimuone anacheka....acheni kabisa kusema hayo jamani....watz nawajua sana Tundu anamshukuru sana mke wake ndiyo faraja yake pale alipo na watoto wake.JF ni nzuri sana ila kuna wachache wanaiharibu kwa makusudi.
 
Sawa,ila fikiria tena,and welcome to jf.
Jf ni wewe na mimi,sio mods.
Tukiamua kuibomoa tunaibomoa,tukiamua kuijenga tunaijenga.
Hunijui,sikujui,lakini kakae unitafakari bro.
Thank you.
thanks for good and nice constructive ideas my bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…