Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikitika kukukosa au kazi nyingine nini Mkuu...............!!!???naona jf ina wenyewe
Kesho nachinja Ng'ombe kwangu,Napenda kuchukua nafasi kuwaaga rasmi wana JF wote.
Nashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mungu awabariki sana.
tramadol
Kajifungue SALAMA...................nadhani mpaka injection ya pethedine kabisa
Tafsiri yako tu na dhana zenu za uchama kwahiyo kila jambo unapeleka kwa chadema na ccm...mimi sina chama nilishasema huko nyuma mimi si ccm wala chadema wala cuf wala chama chochote cha siasa Tanzania.Ile thread ya KIPUUZI uliyopost kabla ya hii hata mimi ILINICHEFUA.
No wonder, ulipata MAJIBU uliyoyataka.
Jifunze KUHESHIMU wengine, na wewe utaheshimiwa.
Itikitadi na kutumika kusikufanye MJINGA.
JITAFAKARI.
Hata mimi sijataja chama hapo, itikadi sio lazima iwe chama;Tafsiri yako tu na dhana zenu za uchama kwahiyo kila jambo unapeleka kwa chadema na ccm...mimi sina chama nilishasema huko nyuma mimi si ccm wala chadema wala cuf wala chama chochote cha siasa Tanzania.