Kwaherini wanaJF

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,662
Leo nimekuja kuwaaga hapa rasmi kwa sababu hiki ndicho kijiwe changu humu JF.

Likizo yangu imeisha. Natoweka JF kuanzia kesho mpaka mwaka 2020, ndipo tutakapokutana rasmi. Naenda kukabiliana na majukumu kadhaa mazito, likiwemo la kujiandaa kugombea Urais wa JMT mwaka 2020. Huo mwaka, nitaingia rasmi kwa kishindo katika siasa za Tanzania, nikiwa na lengo la kuunyakua Urais ifikapo mwaka 2025.

Nimeamua kuandika ili kupunguza maswali yatakayojitokeza kutokana na mimi kutokuwepo humu kwa muda mrefu, pia kuzima uzushi wa aina yoyote, kama mjuavyo, jf kuna kila aina ya uzushi, maana wapo wanaoweza kuzusha kuwa simo humu kwa sababu zisizo za kweli.

Simplicity.
 
kwaheri tutaonana 2020 naona kuisoma namba kumekua kugumu sana inabd kujipanga upya
 
Kila la kheri Mkuu!

Kajipange vyema uje uondoe haya maharage yanayozidi kuchacha na kuoza kila siku zinavyozidi ongezeka.
 
Mkuu naitwa Daby. Nipo tayari kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano katika ofisi yako 2025. Nitakuwa muwajibikaji zaidi ya gerson Msigwa kwa maharaget.

Naamini hautanisahau. Mwisho nawashauri mods kuanzia kesho ukionekana mitaa ya JF upigwe ban ya maisha.
 
"Simplicity sells man, they telling me lies / what they telling is be broke, til the minute I die/". - CK.

I miss that dude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…