Kwaherini wanaJF

Kwaherini wanaJF

Leo nimekuja kuwaaga hapa rasmi kwa sababu hiki ndicho kijiwe changu humu JF.

Likizo yangu imeisha. Natoweka JF kuanzia kesho mpaka mwaka 2020, ndipo tutakapokutana rasmi. Naenda kukabiliana na majukumu kadhaa mazito, likiwemo la kujiandaa kugombea Urais wa JMT mwaka 2020. Huo mwaka, nitaingia rasmi kwa kishindo katika siasa za Tanzania, nikiwa na lengo la kuunyakua Urais ifikapo mwaka 2025.

Nimeamua kuandika ili kupunguza maswali yatakayojitokeza kutokana na mimi kutokuwepo humu kwa muda mrefu, pia kuzima uzushi wa aina yoyote, kama mjuavyo, jf kuna kila aina ya uzushi, maana wapo wanaoweza kuzusha kuwa simo humu kwa sababu zisizo za kweli.

Simplicity.
Mwaka 2020 umri wako utakuwa haujafikia??
 
Kwani unaondoka lini? Mana mkapa sasa bado naona uko tu
 
...huku watu hawaondokagi,wanabadilisha ID tu,unahitaji some TLC tu...lol
 
Utakufa kabla yangu, hilo halina ubishi. Mimi hapa duniani nipo kwa miaka kibao kwa sababu kazi niliyotumwa na Mungu bado sijaimaliza.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86]
Unasema sijaelewa umemaanisha nini mkuu.

[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
 
mkuu, haujatumbuliwa kweli?

hakikisha umelog-out kwenye computer ya offis
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86]
Unasema sijaelewa umemaanisha nini mkuu.

[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
Watu wote waliowahi kuniambia nitakufa na kutaja muda, wamekufa wote wao na kuniacha mimi, sasa sidhani kama na wewe utaliepuka hilo.
 
Back
Top Bottom