Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
- Thread starter
-
- #41
Nawaachia jukwaa, wewe, Masunga Maziku, Nyani Ngabu, Valentina (mod), miss chagga (mod), Freema Agyeman na wadau wengine. Mimi sipotei ghafla kama lara 1, ndio maana naaga.
Niachie no yako kwanza..Nawaachia jukwaa, wewe, Masunga Maziku, Nyani Ngabu, Valentina (mod), miss chagga (mod), Freema Agyeman na wadau wengine. Mimi sipotei ghafla kama lara 1, ndio maana naaga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wote kina nani.
Wewe utakufa tu utake usitake.
Amini kwamba.
Kila nafsi itaonja mauti
2018.
Naisubiri kwa hamu nile pilau lako...
unamuomba kazi afu unataka apigwe ban ya maisha?Mkuu naitwa Daby. Nipo tayari kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano katika ofisi yako 2025. Nitakuwa muwajibikaji zaidi ya gerson Msigwa kwa maharaget.
Naamini hautanisahau. Mwisho nawashauri mods kuanzia kesho ukionekana mitaa ya JF upigwe ban ya maisha.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]unamuomba kazi afu unataka apigwe ban ya maisha?
Leo nimekuja kuwaaga hapa rasmi kwa sababu hiki ndicho kijiwe changu humu JF.
Likizo yangu imeisha. Natoweka JF kuanzia kesho mpaka mwaka 2020, ndipo tutakapokutana rasmi. Naenda kukabiliana na majukumu kadhaa mazito, likiwemo la kujiandaa kugombea Urais wa JMT mwaka 2020. Huo mwaka, nitaingia rasmi kwa kishindo katika siasa za Tanzania, nikiwa na lengo la kuunyakua Urais ifikapo mwaka 2025.
Nimeamua kuandika ili kupunguza maswali yatakayojitokeza kutokana na mimi kutokuwepo humu kwa muda mrefu, pia kuzima uzushi wa aina yoyote, kama mjuavyo, jf kuna kila aina ya uzushi, maana wapo wanaoweza kuzusha kuwa simo humu kwa sababu zisizo za kweli.
Simplicity.