Kwaherini wenzangu!


TAMAA YAKO NDO ITAKUMALIZA.....
UKIAMBIWA KUNYWA SUMU NZURI KWA AFYA UTAKUNYWA KWA SABABU WENGI WAMEKWAMBIA? AU UTATUMIA AKILI YAKO?

haya ushatesti waliokushauri wako wapi kukusaidia?
umchukue huyo mke sasa, si uliona vyaelea ukasahau kuwa vimeundwa?
na ulipe mahari ya mwenye mke...
 
LOL..... we si ulijifanya kumpenda zaid kuliko mkewe.
wala sio bigdeal mchukue 2 ukae nae awe mke wako ww, si ndio ulichokuwa unakitaka ?
kwann uhame bana si mchukue 2.
 
Pole sn,uende kwa aman,ila huyo jamaa anaonekana muungwana sn kwan amekuachia mda wa kutosha mpaka umeweza kutuaga!hongera kwa kuikubali hali yako na matokeo pia,RIP.
 

Hatakuua..ondoa shaka...atakukameruni kidogo tu.....
 
pole sana ila tungekufanyia part ya kukuaga ingekua nzuri sana kwani zawadi ambazo tungukupa ungekwenda kupunguza deni kwa huyo jamaa labda hasira yake ingepungua.
 
safi kila harel tena jamaa msaarabu sana anataka umlipe mahal tuu kwel jamaa msaarabu sana. Kwan wakat unamla mkewe ulikuwa unasikiaje pas chukulia raha ile na yeye anavyotaka. Ningekuwa mm ndo jamaa ningeshakupoteza siku nyingi yan mshukuru jamaa amekupa na siku 30 yan dah! Anamoyo
 
Pole sn,uende kwa aman,ila huyo jamaa anaonekana muungwana sn kwan amekuachia mda wa kutosha mpaka umeweza kutuaga!hongera kwa kuikubali hali yako na matokeo pia,RIP.

Cannta unajua JF is never boring eeh? umenionea SL?
 

Mwambie huna hizo ng'ombe akupe bure
 
Kaka pole sana, sasa kama umepewa mke si umchukue tu? Si ulikuwa ukisikia raha kuwa naye sasa si umepewa kabisa, tatizo ni nini? Hao ng'ombe 30? plus riba?

Sikia, mwambie jamaa m-calculate depreciation, inawezekana thamani ya huyo mke kwa sasa ni kuku 2! husasan kama ana watoto maana ameshakuwa mtumba.

By the way ni onyo kwako na kwa wengine wote wenye tabia kama hizo! Pole kwa matatizo ya kujitakia!
 
Cannta unajua JF is never boring eeh? umenionea SL?
Yani wee acha tu shem wangu,
Ila jana palinuka shem wangu ungepita chitchat ilikuwa songombingo,
SL sijamwona nikikutana naye nitamwambia unamtafuta,
Ulipotea shem salama lkn?
 
Sio part, tuanue matanga au tumfanyia arobaini kabisa

pole sana ila tungekufanyia part ya kukuaga ingekua nzuri sana kwani zawadi ambazo tungukupa ungekwenda kupunguza deni kwa huyo jamaa labda hasira yake ingepungua.
 
Kaa na huyo mwanamke mchangie cost hizo..kwani raha si mlikula wote?? Vipi ulipe mwenyewe...wala usikubali kubeba zigo la mwizi mwenyewe wakati na yeye pia alikuwa mwizi pia..!!
 
Nawashukuru sana,
Kwa ambao wako tayari kuniaga na ambao wamejidai wako safi kwenye mambo haya,pia nawashukuru,
lakini nakubali kabisa tamaa mbaya-:embarassed2:,na alinitamanisha mpaka akanizidi nguvu,nilijitahdi kujinasua lakini akawa ameishanijulia udhaifu wangu hata kabla ya kulitenda jambo hilo,kwa nguvu ya kibinadamu haikuwa kazi rahisi hata kufkiria kumpenda mke wa mwanajeshi mwenye cheo kikubwa lakini pia ni wale wa Musoma,mkali na hana mchezo na niliwahi kumshuhudia mwenyewe.
Lakini kwa wanaume wenzangu ukiona yamekukuta ukiweza kimbia,lakini maneno,nguo,macho vilinitia hamu ya kujaribu,nikafuata ushuri wa MMU friends nikaanza kwa cond...baadae nikawa nahisi kama utamu kwenye cond ni hivi? ndani pakoje,baada ya kupima na kuonja,nilijisikia natamka maneno-hata akijua,akaniua sintojali,kumbe yakamuingia mpenzi wa watu moyoni-sasa najuta.
Sina pesa ya ulinzi wala ya ngombe,sina hata mke. Niko nimejitayarisha kila nikisikia hodi chumbani kwangu,najua amekuja kuchungulia kama nimeishahama. Najua wengi mnaandika as if mnazo nguvu za kuhimili,lakini najua yangewakuta nanyinyi mngekimbia, nashukuru aliyeniambia nihame mkoa. Wacha nirudi kwetu nahisi nitapata hata ulinzi wa bure,maana huyu bwana ameamua kumuadhibu mkewe kwa kunisulubu mimi. Asanteni
 

We bwana vipi? Mke gani tena, si ndie huyo ulieachiwa?
 

Mkuu pole san a kwa yaliyokukuta. Cha kufanya ni kutubu kwa mungu kabla ya kitu chochote, na kumwomba Akuongoze katika kulitatua Hilo tatizo. Kumrudia mungu utapokelewa Kama mwana mpotevu na kusaidiwa shida zako zinazokukabili, kwani mungu hamtupi mja wake.

Na Hilo Liwe fundisho kwako na kwetu pia, pamoja na majibu yetu mengine ambayo hayana tija kwako.

Kila la kheri!
 

Mi ntachanga kama atakubali kuniojesha siku moja moja. kama amekubali pitia ofisini uchukuwe mchango huo natoa buku2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…