ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,244
- 1,741
jf is never boring!
source?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jf is never boring!
Mi ntachanga kama atakubali kuniojesha siku moja moja. kama amekubali pitia ofisini uchukuwe mchango huo natoa buku2
source?
WanaJF sote ni ndugu 2nashirikiana kwnye shida na raha, sasa mi naonelea kwa kua mwenze2 yamemkuta haina budi 2msaidie angalau mchango kidogo, kila mmoja humu jamvini akitoa buku buku 2kamsaidia kurudisha hiyo mahari ...........
ANGALIZO: Mweka hazina nitakua mimi mwenyewe.
Na hiyo dhambi yake ataiona pepo kweli huyu?Kama ungemuepuka mwenye mali, ukimwi ungekuondoa, kalale mahali pema peponi!
Wenzangu wa MMU,
Wengi wenu sikuwasikiliza lakini sikio la kufa .......... Nikawasikiliza wachache na nikajikuta nimejaribu kwa mke wa wa mtu,utamu nikaupata na sasa jamaa-mumewe amenijua na amesema nimchukue mke hamtaki tena kwa sababu kapata uja uzito wangu na hataki kusikia kitu amenipa deadline ya siku 30 nimlipe mahari yake ya ngombe 30 na riba mara 4 na mimi siwezi kuzilipa, nimehama nyumba mara 6 lakini amenifuata,mkiona sionekani tena ,basi jueni ndio jamaa katimizia azma yake,wake za watu mnatumaliza!
Kwaherini!
Dah.......hope unatania ndugu!! 1000?? Hiyo bei ya kiepe kabisa mwanawani! L.O.L
Kama akifanikiwa kukuua basi tafadhali wasalimie huko utakofikia.Kwaheri
wa kulaumiwa ni huyo mwanamkeKwenye maswala ya ugoni mara nyingi mwenye maklosa ni mwanamke. kwa nini amkubali dume mwingine wakati anajua fika ana mumewe? Huyo mume akadai mahari kwa wakwe kwa kumpa mwanamke wa ki-china asikusumbue maana mkewe angekataa usingembaka