Kwaherini wenzangu!

Mi ntachanga kama atakubali kuniojesha siku moja moja. kama amekubali pitia ofisini uchukuwe mchango huo natoa buku2

Kweli nimeamini dunia hii hamna cha bure!!
 
Mmmh....... Siku zote vitamu huaw vina madhara! Nakuonea huruma.
 

Dah.......hope unatania ndugu!! 1000?? Hiyo bei ya kiepe kabisa mwanawani! L.O.L
 

Kwenye maswala ya ugoni mara nyingi mwenye maklosa ni mwanamke. kwa nini amkubali dume mwingine wakati anajua fika ana mumewe? Huyo mume akadai mahari kwa wakwe kwa kumpa mwanamke wa ki-china asikusumbue maana mkewe angekataa usingembaka
 
hilo halina msaada

hata kama angekuwa invissible angekupa burn tena ya miaka 20

so mkuu we potea tu,mi siungi mkono kabisa kumlala mke wa mtu then tukupe big up aaaaah no,haiwezekani kabisa.
tena nashangaa umepata wapi mda wa kuweka thread hii,ulitakiwa kupotezwa kitambo tuu

mke wa mtu.mke wa mtu!!!!!! mmmmmmmmmmmmh
 
Wakti mwingine uwe unatunga uongo wa kimaendeleo ili hata tukijaribu tunaweza kupiga hatua moja mbele kimaendeleo. sio story za kizinzi tu na inaonesha una element hizo. et umehama nyumba mara 6, ................$#*****%.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ama kweli sasa nathibitisha kwamba mwaka mwingine ndio umeanza hivyo!Lakini pole mkubwa.
 
Kama akifanikiwa kukuua basi tafadhali wasalimie huko utakofikia.Kwaheri
 
Dah.......hope unatania ndugu!! 1000?? Hiyo bei ya kiepe kabisa mwanawani! L.O.L

BUKU kumbe parefu eeh? ......poa basi kila m2 atachangia kama nauli ya PANTONI.
 
Mudhihir Mudhihir aliwahi kuonywa... achague kuwolewa au kukatwa mkono wa kulia,akachagua mkono mmmh!
 
Ulionja asali ukachonga mzinga, hivi ulikuwa unatarajia nini na unajua kabisa ni mke wa mtu.
Ndugu yangu ukipata raha ukumbuke karaha.....
 
husione vyaelea vimeundwa,,ukipanda mchicha utavuna mchicha,pole ila
 
Kwenye maswala ya ugoni mara nyingi mwenye maklosa ni mwanamke. kwa nini amkubali dume mwingine wakati anajua fika ana mumewe? Huyo mume akadai mahari kwa wakwe kwa kumpa mwanamke wa ki-china asikusumbue maana mkewe angekataa usingembaka
wa kulaumiwa ni huyo mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…