Kwaherini wenzangu!

Yaani wanawake/wasichana wote hao bado unafuata mke wa mtu! pole sana umeyataka mwenyewe!
 
Kifo chako kizuri kweli mkuu, umepewa na taarifa kabisa! Tubu na kuiamini injili ili ukifa usiwe kama tajiri uwe kama Lazaro

R.I.P in advance
 

Acha ujinga hata kama hii stori ni ya kweli, huyo jamaa anatakiwa kuwa na ushahidi wa kisayansi na alitakiwa akufumanie live ukifanya mapenzi na mke wake akiwa na mashahidi. Usiwe mjinga wa kukubali mambo yasiyokuwa na ushahidi 100%. Kataa kabisa na ukatoe ripoti polisi kwamba umetishiwa kuuwawa kwa mambo ya kuhisi na sheria itachukua mkondo wake. Hata kama umefanya mapenzi na mke wake inawezekana kabisa kwamba hiyo mimba siyo ya kwako, unaweza kuta hata mayai yako hayana uwezo wa kumtia mwanamke mimba. Unaweza ukawa unajipa sifa za kumtia mwanamke mimba wakati huna uwezo.
 
Nasikia JF ipo had kwenye recycle bin. Akifanikiwa kukudiliti utuandikie sred alikuaje..
 

Pole sana mkuu TMK Dar,
Najua wajutia kosa lako, nahisi hutokuja kurudia tena maishani mwako kwani ushajifunza mke wa mtu ni sumu kali sana.

NB:
Hili pia ni fundisho kwa wanaume wote wenye tabia za kupenda kungonoka na wake za watu,
naamini kwa ushuhuda wako huu utaenda kuwaokoa baadhi ya wanaume wenye tabia km hizi.

Ushauri:
1. Nenda kanisani au msikitini ukatubu kwa dhambi hiyo ili na wewe ukipata mkeo wasije wanaume wakangonoka nae km wewe ulivyomfanyia mjeshi wa watu. Mungu wetu ni mwema huwa anasamehe na hutakamatwa kwani wajutia kosa ulilofanya.
2. Nenda mkoa wa mbali sana na huo mkoa unaoishi sasa.
3. Tafuta mke wako oa ili upate haki yako ya ndoa bila ya kujiiba iba tena.
 
so sad, i wish to help you out.
 

utakoma mi naomba jamaa akufanyie kama yule dem wa facebook.
 
Nawashukuru wote walionipa faraja, walionitukana,walioniombea na walionitakia mabaya na wote walioniaga.
Hivi sasa niko mafichoni kwa level za uswahilini ingawa najua ningekuwa na thamani kubwa ningepataikana.
Nilifuata ushauri wa baadhi ya ndugu na sasa niko mbali kabisa na sehemu ya tukio na kabla sijatoweka kidhibiti kilipotea(mke wa watu mwenye uja uzito alikimbia na hajulikani alipo)Kwa mantiki hiyo nina imani nitaweza kuendelea kuishi kwa muda, aliyejifunza -amejifunza, anayetaka kuwa Thomaso na aendelee, walioniombea mabaya nawashukuru na kuwasamehe. Walioniombea Mungu awabariki muendelee kuwa binadamu! Cheers!
😛oa
 


Good to know you are still around buddy! Ila achana na falsafa ya "kama unaweza kupata maziwa ya nini kufuga ng'ombe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…