Kwaherini ya Kuonana wana JamiiForums wote popote pale mlipo!

Kwaherini ya Kuonana wana JamiiForums wote popote pale mlipo!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ifikapo tu Saa 6 Kamili muda mfupi kutoka hivi sasa nategemea Kutoonekana tena hapa Jamvini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu hivyo GENTAMYCINE Kiungwana kabisa nimeona nichukue fursa hii adhimu Kuwaageni wana JamiiForums wote na Kuwashaukuruni kwa ushirikiano wenu mkubwa.

Nawatakieni nyote Kwanza heri ya Mwaka Mpya wa 2019 lakini pia nawaombeni mzidi Kulisongesha vizuri hapa na mzidi Kuufanya huu Mtandao uwe bora kabisa kuliko Mitandao yote ya Kiswahili hapa nchini Tanzania. Haikuwa dhamira yangu Kuuchana nanyi ila sababu zilizopo nje ya uwezo wangu zimenilazimisha kuwa hivi.

Nawapendeni nyote, nitawakumbukeni sana na ninawaageni hivi huku machozi yakinitoka. Mbarikiwe!

Nawasilisha.
 
Bora uende zako tu maana ulikuwa unatuchosha tu kwa Uwongo wako wa Codes za kifala kama Juma Lokole
 
Tutakumiss kaka mkubwa mzee wa kubaolojia, ukipata nafasi uje kutupa hallaz..

adios
 
Back
Top Bottom