Nilifikiria sana kabla ya maamuzi lakini ni siku ya mwisho kwenye hii.
Hivi wakuu...siku na mimi nikiaga mtanililia hivi na kucomment vizuri kuhusu mimi?
Haya bhana good luck and all the best in your life. Thanks for everything. Ni mmoja wa wanachama humu nilikuwa nafurahia kukusoma na kusoma kila kitu na kujifunza mengi niliyokuwa siyajui. Sayonara Rafiki.
Bado nipo siondoki. Nimewaza tu kama hizi sifa nzuri zinazomwagwa hapa nami nitazipataUsiondoke banaaa! Waja leo waondoka leo? Ndiyo nini sasa Demi?
Kwa heri mpendwa Mungu akutangulie kwa kila jambo. Tuzidi kuombeana. Kila la heri rafiki.Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.
Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
Umejuaje Sasa na ww[emoji23][emoji23]Mbona la Arabian queen kujitoa humu liko wazi emmyta!? Labda kama nakosea kumsoma ila si kwa kipindi kirefu kihivyo maana kishakuwa addicted huyu kama nanihii. 😛😛😛
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umejuaje Sasa na ww[emoji23][emoji23]
We mama wacha hizo banaJapo ni hudhuni lakini inabidi wengine waondoke wengine waingie, nipo njiani pia kuondoka nakutakia kila la kheri ndugu yangu
Salama Dear, mambo ya mfungo tutaharibiana saumu zetu humu [emoji1] [emoji1] maana aandikacho mtu ndicho kimtokacho moyoniWe mama wacha hizo bana
Kama kwajili ya mfungo sawa...Salama Dear, mambo ya mfungo tutaharibiana saumu zetu humu [emoji1] [emoji1] maana aandikacho mtu ndicho kimtokacho moyoni
Bado sijaaga mbona [emoji1] [emoji1] [emoji1] au unataka niage? Basi siagi maana kwa namna hii utanitafutia wa kurithi zigo langu bureeKama kwajili ya mfungo sawa...
Ila mfungo ukiisha utarudi eeh
Ha haaa na bora usiage mana utapoteza nafasi wallahBado sijaaga mbona [emoji1] [emoji1] [emoji1] au unataka niage? Basi siagi maana kwa namna hii utanitafutia wa kurithi zigo langu buree
[emoji1] [emoji1] [emoji1] basi InshaAllah ila ntapunguza kasi wallahHa haaa na bora usiage mana utapoteza nafasi wallah
mm je hujajifunza kitu toka kwangu hahahahahaaaI will miss u my nizzle for shizzle.
NimejifunzA mengi sana kutoka kwako