Ehe nini tena na wapi?Shikamoo Dada naumwa nimelazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ehe nini tena na wapi?Shikamoo Dada naumwa nimelazwa
Chuo kikuu malaria 40Ehe nini tena na wapi?
Ninachojiuliza inakuwaje bado naendelea kukuona au ulikuwa unatingisha kibiriti.Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.
Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.