Kwaherini

Keshateuliwa huyo tayari, haya kwendraaaaaaaa
 
Sky Eclat.....usinitie Jakamoyo wakati huu. ....bado nauguza aliyoyaacha Salman.

It's sad to see your contribution has come to an end....Thank you for sharing.

Good luck staying disconnected...xx
 
NimejifunzA sana na ninaendelea kujifunza.
Vipi shughuli zetu za sherehe zinaendeleaje?
zinaendelea vyema ila wateja siku hizi wamekuwa adimu sana sijui hakuna wanaooana au kimbunga gani kimelikumba yaani
 
Kwa heri ndugu,hapa ni kwako,muda wowote we ukijiskia kurudi rudi tu!
 
Jamani kwann unatuacha, binafsi ntakumiss nilikuwa napenda sana michango yako
 
Sky majukumu gani ya kukufanya hata usitusabahi mara moja moja JF.

Wewe ni moja ya memba ambao nikiudhika hapa nashindwa kutoa matusi kisa tu nahofia utanionaje.

Nwei : kila la kheri mpendwa japo naamini tu pamoja.
Mhhhh! Majukumu gani hayo ya kushindwa kuingia humu hata kwa dakika chache tu kwa siku au kwa wiki? Michango yako humu imeenda shule na niliwahi kukwambia hivyo miezi ya nyuma. Hebu achana na hiyo dhana ya kutaka kuaga bhana.
 
Duuh jamani kunanini humu mbona kila mtu muhimu humu anasepa isije ikawa nchi imeuzwa pamoja jf.
Mnahama kimya kimya
 
Nikutakie heri na fanaka. Michango yako itakuwa missed.
 
Nitakumiss Dkt. !

See you there...!
 
Pls don't leave like candle in the wind...gone too soon[emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…