Kwahili sihitaji kushauriwa mazeee...

Minaona....
Shida sio kuacha pombe...🀨
Shida ni.....
Hiyo pombe tunamuachia nani...πŸ€”
Wala usiache pombe. Maini yakioza utajua hujui. Endelea kushindana nayo. Sisi tuanaangalia mchuano kati yako na pombe mshindi atakuwa nani.
 
Wala usiache pombe. Maini yakioza utajua hujui. Endelea kushindana nayo. Sisi tuanaangalia mchuano kati yako na pombe mshindi atakuwa nani.
Drink beer and save water....🍻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…