Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Poleni wana jukwaa na mihangaiko ya kutafuta chochote kitu maisha yasonge..
Sina mengi sana ila nina swali kwa wanawake leo hii, hivi ni kitu gani huwasababisha mchelewe location????
Mnaweza kuahidiana mkutane saa 10, ila cha ajabu anaweza kuja saa 12. Ukimuuliza kwanini kachelewa kuja, hana sababu ya msingi zaidi ya porojo tu.
Mimi hua najitahidi sana kuendana na muda, pia usiwe mwepesi sana kulipia chumba kabla hajafika.
Kuna baadhi ya vimeo hawakawii kukutia hasara wakaacha kuja.
#NB awe msomi, awe hajawahi kufika shule ni walewale tu.