lamisa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 224
- 222
Mimi nimenunua simu mpya kabisa ya tecno,mkataba nimepewa ya mwaka mmoja ila nimeshatumia hii simu kwa Sasa ni mwezi kasoro na inanisumbua Sana upande wa spika & maik,Simu nimenunua tah.5/7/2018 na ninampango wa kuirudisha kesho tah.30/7/2018, je wataipokea japo risiti nilipewa ila ya kuandikwa kwa mkono siyo ya FD au niipeleke tecno shop kwa ajili ya marekebisho.NB, sikuzote hizo nilisafiri kikazi ndo maana sikuirudisha mapema,msaada tafadhali!2