KWAHILI WATANIELEW?

KWAHILI WATANIELEW?

lamisa

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
224
Reaction score
222
Mimi nimenunua simu mpya kabisa ya tecno,mkataba nimepewa ya mwaka mmoja ila nimeshatumia hii simu kwa Sasa ni mwezi kasoro na inanisumbua Sana upande wa spika & maik,Simu nimenunua tah.5/7/2018 na ninampango wa kuirudisha kesho tah.30/7/2018, je wataipokea japo risiti nilipewa ila ya kuandikwa kwa mkono siyo ya FD au niipeleke tecno shop kwa ajili ya marekebisho.NB, sikuzote hizo nilisafiri kikazi ndo maana sikuirudisha mapema,msaada tafadhali!2
 
Tecno tu unataka kupindua nchi je ingekua Itel si ungejinyonga.

Warranti ni mwaka mmoja sio mwezi mmoja sijui kama utanielewa kwa uharaka.
 
Tecno tu unataka kupindua nchi je ingekua Itel si ungejinyonga.

Warranti ni mwaka mmoja sio mwezi mmoja sijui kama utanielewa kwa uharaka.
Kwahiyo mkuu unanishauri kuwa kesho nikirudisha wanaweza kunibadilishia bila kipingamizi?
 
Unaweza usibadilishiwe,ukasaidiwa matengenezo ukapewa simu yako hiyo hiyo .
 
Unaweza usibadilishiwe,ukasaidiwa matengenezo ukapewa simu yako hiyo hiyo .
Dah,ila kwenye matengenezo ndo yanchukuaga muda mrefu balaa,ngoja nikajaribu!
 
Back
Top Bottom