Kwahiyo mkuu unanishauri kuwa kesho nikirudisha wanaweza kunibadilishia bila kipingamizi?
Dah,ila kwenye matengenezo ndo yanchukuaga muda mrefu balaa,ngoja nikajaribu!
Sasa kama ni uhakika na inaonekana suala la muda huwezi kuvumilia utafanyaje.Kwahili nitataka matengenezo ya uhakika