ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Baadhi ya askari kutoka nchini Marekani wakihitimisha jukumu la ulinzi katika uwanja wa ndenge ya Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, baada ya Makamu wa Rais wa nchi hiyo Kamala Harris kukamilisha ziara yake ya siku tatu hapa nchi.
Kamala Harris amefanya ziara nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuzitembelea nchi tatu za Bara la Afrika.