Kwahiyo Azam FC wamegoma kuvaa jezi za GSM?

Kwahiyo Azam FC wamegoma kuvaa jezi za GSM?

Mchezo wa jana uliisha kwa Azam FC ikishinda mabao manne. Lakini cha kushangaza hatujawaona wakivaa jezi yenye nembo za GSM. Je, TFF ni waongo!?
Ukiwa unawaza umwache Nani kati ya Wawa na Mugalu, mara wazo la Kanoute linakatisha huku unawaona Nyoni na Banda huwezi kuona nembo ya GSM.
 
Ukiwa unawaza umwache Nani kati ya Wawa na Mugalu, mara wazo la Kanoute linakatisha huku unawaona Nyoni na Banda huwezi kuona nembo ya GSM.
Mr Sina ushabiki wa usimba na uyanga, mambo vipi
 
Tena sio tu Begani... Hadi kwenye zile Electric Billboards GSM ilikuwa inapita pita

Sema zile electric billboards sio ulazima kupitisha matangazo ya tff na wadhamini wake. Maana pale azam watumie kutangaza wadhamini wao.
 
Leta lingine

FB_IMG_16403302351492373.jpg

FB_IMG_16403302265282257.jpg
 
Mechi Kati ya Kmc na Mafua Fc, Je Mafua SC Watavaa Jersey Zenye Nembo Ya Jiesiemu?
 
Mechi Kati ya Kmc na Mafua Fc, Je Mafua SC Watavaa Jersey Zenye Nembo Ya Jiesiemu?
Wameshakataa na hawatavaa. Hujasikia taarifa ya Ushindani kuwataka TFF wawasilishe mkataba wao na GSM? Uamuzi w FCC ndio utaamua ama wavae au wasivae nembo ya GSM.

Vv
 
Umeangalia mechi au ??
Km hujui ungeuliza sio unakurupuka na kujitungia uongo[emoji144][emoji144]
 
Sema zile electric billboards sio ulazima kupitisha matangazo ya tff na wadhamini wake. Maana pale azam watumie kutangaza wadhamini wao.
Si kweli, Labda useme wapitishe wadhamini wote. Wadhamini wa ligi lazima wawepo na WA klabu mwenyeji
 
Back
Top Bottom