Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Si kweli, Labda useme wapitishe wadhamini wote. Wadhamini wa ligi lazima wawepo na WA klabu mwenyeji
Si kweli udhamini wao unaishia katika liga na vitu vingine.
Epl ina wadhamini wengi. Ila huwezi ona kwenye billboard za uwanjani inapita matangazo ya wadhamini katika vilabu, ila vilabu vinatumia kujitangaza na wadhamini wao