Kwahiyo Bakari Shime ndiye kocha pekee anajua kufundisha mpira wa wasichana Tanzania!?

Kwahiyo Bakari Shime ndiye kocha pekee anajua kufundisha mpira wa wasichana Tanzania!?

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika,

Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari Shime.

Kwa ninavyo faham hizi team huwa shule zinashindanishwa ambapo shule mshindi inaenda na kushiriki ngazi ya afrika endapo utashinda kwa ukanda wa afrika mashariki ambapo msimu uliopita Fountain Gate walichukua huu ubingwa.

Msimu huu chini ya "master of all...."Bakari Shime naona watoto wanahangaika kutafuta nafasi ya tatu Sasa najiuliza Bakari Shime sio mwl wa shule yoyote ya Sekondari hapa nchini imekuwaje aongoze team ya sijui hapa hata ni shule gani hii iliyoingia.

Nadhani nafasi kama hii angeenda kocha wa team ya shule ya wanawake.
 
Labda ujuzi na uzoefu wake wa ku coach team za wanawake unambeba
Inawezekana lakini team anazo coach ni nyingi sana hizi za mashule alipaswa kuacha kwa coaches wengine
Wa mwaka Jana alichukua hadi kombe na ni ugenini japo hakuna na jina yeye kwenye home ground hajapata hata medal ya 3
 
Back
Top Bottom