Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

Kichwa chako kina akili sanaa wewe.. Mungu aendelee kukujalia maisha marefu ili niendelee kuona mawazo yako humu jukwaani. Wewe ni akili kubwa.
Strange logic. Bw Mwashambwa nilitarajia ungekanusha kwamba CCM haina upuuzi huo kabisa. Sasa wewe CCM kulinganishwa na CHADEMA na kupewa “unafuu” unaona raha kabisa!

Anyway, the stuff is obviously fake.
 
Hata kama ni kweli hizo pesa zimetumika kwa nia njema kwenye MAANDAMANO ya KUDAI HAKI za Msingi kuliko hizo hizo wanazomtilia Mafuta JAMBAZI katika MAIGIZO yake

Pesa wanapewa Watu ili wajilize kwenye Mikutano ya KAKA JAMBAZI.
 
Mbowe noma sana.. eti IMEKAA POA.. 😄😄 Na atakuwa kapiga hela mingi kwasababu lazima aingize majina ya wale watoto wake kwenye mgawo wa posho.
 
Mbona sisi makapuku tunaoingia kwa rodi hizo posho hazitufikii bamura betu?
 
Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee

Ona hiyo attachment hapo chini.

View attachment 2894286

Nakushauri jamaa wapo serious sana mwaka huu topic za kijinga jinga hivi za uchawa hazitajibiwa mwaka huu. Jamaa wame focus kwenye katiba tu kwa sasa. Usipoteze muda. Utaishia kuongea na machawa wa CCM😂
 
Kichwa chako kina akili sanaa wewe.. Mungu aendelee kukujalia maisha marefu ili niendelee kuona mawazo yako humu jukwaani. Wewe ni akili kubwa.

Kweli ccm ni chama Cha wazee, Bado miaka hii mnatumia propaganda outdated hivyo?
 
Hiyo chart iwe kweli au isiwe kweli, hapo "upigaji" wa Chadema unakuja vipi?

Mbona ni kawaida watumishi wengi wanapotoka nje ya ofisi zao kwa shughuli za kiofisi hulipwa posho, sasa iweje kwa Chadema liwe kosa?!

Au Chadema sasa wamekuwa robots wasiostahili chochote!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Japo inawezekana ni ushahidi wa kutengeneza, nijuavyo,

Posho za maandamano:

Viongozi wakitoka dar kwenda Mza Arusha nk nk kuratibu maandamano lazima walipe posho, makazi chakula nk nk.

Usafiri kusambaza mabango bendera nk nk usafiri lazima posho zilipwe.

Matangazo ya magari mtaani lazima yalipiwe pesa, watangazaji lazima walipe posho.

Hizo zote ni gharama haxikwepeki.

Kinachokatazwa ni mtindo mbaya wa kwenda kuwanunulia walevi viroba Ili wakafanye fujo Kwa WAPINZANI kama wafanyavyo chama chakavu Lucas mwashambwa
 
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu,

hivi mtu akiamua kuunda group members wakajipa hayo majina na kuanza kuchart kwamba hilo haliwezi fanyika kwa siasa hizi za kuchafuana? Hivi ccm ni ya kuamini?

Makonda akiwa mkuu wa mkoa mangapi feki alipanga na ikaonekana kweli kumbe urongo mtupu!

Mf: binti wa lowasa katelekezwa, Gwajiboy na kondoo, mwisho wa siku ikawaje? Acha hizo we mleta mada!
Makonda pia kamchafua Chongolo
 
Mbowe:
Imkaa poa
Great work Kamanda
👍

Lisu kastukia kuona makamanda wa usukumani wametengewa fedha kidogo wakati machalii wa Kaskazini wamepewa mzigo wa kutosha!
 
Huyo aliyetengeneza hiyo chat ni punguani hasa. Yaana anaamini kuna mwenye akili timamu atadanganyika? Kweli CCM imebeba wajinga wengi. Na huyu aliyeitengeneza hii chat anajiona ametumia akili sana?
CCM ni kusanyiko la mazuzu.
 

Attachments

  • IMG-20240205-WA0045.jpg
    IMG-20240205-WA0045.jpg
    65.8 KB · Views: 2
Mambo ya chatGPT. Wazee wa kitengo cha propaganda na siasa majitaka wameshalipwa posho ndefu kutengeneza chat ya kiboya.

Hata kama mimi sio mwenachama wa CDM huo upuuzi wa UVCCM sijaukubali.
 
Back
Top Bottom