Strange logic. Bw Mwashambwa nilitarajia ungekanusha kwamba CCM haina upuuzi huo kabisa. Sasa wewe CCM kulinganishwa na CHADEMA na kupewa “unafuu” unaona raha kabisa!Kichwa chako kina akili sanaa wewe.. Mungu aendelee kukujalia maisha marefu ili niendelee kuona mawazo yako humu jukwaani. Wewe ni akili kubwa.
Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee
Ona hiyo attachment hapo chini.
View attachment 2894286
Kichwa chako kina akili sanaa wewe.. Mungu aendelee kukujalia maisha marefu ili niendelee kuona mawazo yako humu jukwaani. Wewe ni akili kubwa.
Makonda pia kamchafua ChongoloHuu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu,
hivi mtu akiamua kuunda group members wakajipa hayo majina na kuanza kuchart kwamba hilo haliwezi fanyika kwa siasa hizi za kuchafuana? Hivi ccm ni ya kuamini?
Makonda akiwa mkuu wa mkoa mangapi feki alipanga na ikaonekana kweli kumbe urongo mtupu!
Mf: binti wa lowasa katelekezwa, Gwajiboy na kondoo, mwisho wa siku ikawaje? Acha hizo we mleta mada!
Huoni huo mgawanyo wa posho. Mwanza Kanda ya ziwa mil. 44 Kaskazini Arusha milioni zaidi ya miaMbona sisi makapuku tunaoingia kwa rodi hizo posho hazitufikii bamura betu?
Sisi huku kusini tumepewa ngapi?Huoni huo mgawanyo wa posho. Mwanza Kanda ya ziwa mil. 44 Kaskazini Arusha milioni zaidi ya mia
Nyie wavaa kobazi huu mgao hauwahusuSisi huku kusini tumepewa ngapi?
CCM ni kusanyiko la mazuzu.Huyo aliyetengeneza hiyo chat ni punguani hasa. Yaana anaamini kuna mwenye akili timamu atadanganyika? Kweli CCM imebeba wajinga wengi. Na huyu aliyeitengeneza hii chat anajiona ametumia akili sana?
Mnaangaika Sana, famfa lenu lingine hili hapaCc Maghayo, Azarel ,Filosofia ya Rorya ,Kadhi Mkuu 1 Jaji Mfawidhi ,Mmawia Rufiji dam ,......
Yericko Nyerere na Erythrocyte mtupe maelezo hizi posha mnagawana nyie wakubwa alafu wengine wanaishia mahakamani
Ccm kama mlitengeza msg feki kwa yule kada wenu mwl.sijui nani ole mushi ambaye kwa ss ni rip hata hizo attachment ni kandasi yenu tu.Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee
Ona hiyo attachment hapo chini.
View attachment 2894286
Msahau kuchukua nchi kwa huo udini wenuNyie wavaa kobazi huu mgao hauwahusu
Bilioni Moja na ushee kulipa madeni yaliyokopwa! Mkopeshaji mkuu Mwenyekiti!?Mnaangaika Sana, famfa lenu lingine hili hapa