Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna utaratibu wa talaka ya Kikristo.Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
Sorry! Naomba unifafanulie hapa, kwamba wakristo hawaachani au kwa sheria zao hakuna talaka au wanatalikiana wale tu wanaooana bomani?Hakuna utaratibu wa talaka ya Kikristo.
Hili nalo nenoUna wake wa 3 mmoja ana taka mali mna gawanaje pasu na walio baki wana tumia nini..hemu wenye dini yao mtoe maelezo apa
Acha uchonganishi.Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
Wakristo hakuna kugawa nusu kwa nusu kama mwanaume alikuwa na Mali kabla ya ndoa.Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
Ila Kuna watu ni wapumbavu halafu hawaogopi kuonesha upumbavu wao hadharani.Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?