Kwahiyo Jana hawakuchanganya Dini na siasa? Hii ni maajabu

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Jana ikageuka sehemu ya kampeni. Hadi tukasikia kauli za kukata vichwa watu. Daaa! Hii nchi inaongozwa kisela sana.

Kale kale kajamaa kalikohubiri tusichanganye dini na siasa Jana kalikuwepo kwenye ufunguzi wa hema.

Haya bana mungu amewaona na anajua hatima yenu
 
Open your eyes, katazo la kuchanganya dini na siasa linawahusu CHADEMA peke yao. CCM na hutu tuvyama tuliobakia literally ni jumuia za CCM hao ngiri wote wanaruhusiwa kuchanganya dini na siasa.
 
Wakatoliki tuna sala inayomalizika kwa maneno kuwa "Mungu hadanganyi, wala hadanganyiki".

Fanyeni yote, lakini kumbukeni kwamba you can't fake God.

Atafanya analoona linapaswa kufanywa kwa wakati wake.
 
Jana ikageuka sehemu ya kampeni. Hadi tukasikia kauli za kukata vichwa watu. Daaa! Hii nchi inaongozwa kisela sana.

Kale kale kajamaa kalikohubiri tusichanganye dini na siasa Jana kalikuwepo kwenye ufunguzi wa hema.

Haya bana mungu amewaona na anajua hatima yenu
Ukiwa upande wa Chura Kiziwi unaweza kufanya chochote unachotaka. Wewe umewahi kuona chawa yeyote wa mama, kwa mfano, amekamatwa kwa kutoa kauli ya kijinai ingawa wapo chawa wengi wanaotoa kauli za kijinai?
 
Back
Top Bottom