Open your eyes, katazo la kuchanganya dini na siasa linawahusu CHADEMA peke yao. CCM na hutu tuvyama tuliobakia literally ni jumuia za CCM hao ngiri wote wanaruhusiwa kuchanganya dini na siasa.
Ukiwa upande wa Chura Kiziwi unaweza kufanya chochote unachotaka. Wewe umewahi kuona chawa yeyote wa mama, kwa mfano, amekamatwa kwa kutoa kauli ya kijinai ingawa wapo chawa wengi wanaotoa kauli za kijinai?