Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwahiyo wewe ukipata pesa tu basi ushamaliza?We kilaza kwani hao boda wanakosa pesa?
watembelea v8 hao hawajui ugumu vijana wanaokutana nao kwenye utafutaji wa maishaLema alikuwa na hoja asikilizwe
Wanalipa vipi huku hata tin wengi wao hawanaNdio ni ajira rasmi.
Na mbona wanalipa kodi.
Bodaboda inalipa zaidi ya uwalimu by Mpwayungu VillageHili jambo linashangaza sana, hivi bodaboda ndo imekuwa ajira rasmi ya vijana wa nchi hii........kwa hiyo kujenga uchumi wa nchi hii tunahitaji kila kijana alandelande na bodaboda.
Tatizo ni kwenye ku-add value kwenye uchumi, bodaboda wanaolandalanda na kukesha kwenye vijiwe wangetumika kwenye shughuli za uzalishaji kama kilimo, ufundi, uvuvi, viwanda, useremala, ujenzi, uchimbaji madini, kuendesha bandari nk. nchi ingekuwa mbali sana kiuchumi.Bodaboda inalipa zaidi ya uwalimu by Mpwayungu Village
Hivi unaelewa ulichokiandika mkuuTatizo ni kwenye ku-add value kwenye uchumi, bodaboda wanaolandalanda na kukesha kwenye vijiwe wangetumika kwenye shughuli za uzalishaji kama kilimo, ufundi, uvuvi, viwanda, useremala, ujenzi, uchimbaji madini, kuendesha bandari nk. nchi ingekuwa mbali sana kiuchumi.
Ni kweli maana Bodaboda wana bima serikaliniBodaboda inalipa zaidi ya uwalimu by Mpwayungu Village
Baadhi ya watu,hawawazi hilo,wao wanaangalia eti amepata pesa,pasipo kuangalia athari za hiyo njia ya upatikanaji pesa.Ni rahisi kupata taarifa za bodaboda hata 20 kwa leo tu,waliovunjwa miguu,kuliko kupata taarifa za mwalimu aliyejeruhiwa akiwa anatimiza majukumu yake.Hii kazi ya bodaboda,ifanyike kukiwa hakuna namna,na siyo viongozi wakae huko,washauriwe kua hakuna haja ya kutilia mkazo,utoaji wa ajira rasmi,kisa kuna shughuli ya bodaboda.Watu wawaze kua bodaboda,ina madhara makubwa,kwenye mwili wa muendeshaji,na itambulike kua hana hata BIMA ya afya,hana pension,hakopesheki kirahisi,hana muda wa kukaa na familia n.k.Ni kweli maana Bodaboda wana bima serikalini
Bodaboda Wanakopesheka kirahisi
Boda boda Wana uhakika na kipato chao
Bodaboda Wakistaafu huwa wanapewa pensheni
Bodaboda wanapata muda mwingi wa kufanya shughuli zingine za uchumi na familia.