Kwahiyo malkia mtalaka wa Tabibu Year uliforce upewe talaka na tabibu ili uliwe na huyo Jamaa wa Kinondoni?

Dr Year, yupo humu?
 
Dr mwaka kamtimua kwenye nyumba mtu ana watoto wako wakaishi wapi ,wanaume hawawez toa kitu kwa moyo
 
Mapenzi hayana formula. Unaweza kuwa na mali na fedha ukafikiri mkeo hatashawishika na wanaume wa nje.
Unakuja shangaa mali na fedha zako ndiyo zinatumika na mkeo kumhonga bodaboda.
 
Mmh code yako rahis sana best mtafute[mention]Warumi [/mention] akufundishe umbea wa code
warumi alifika tayari makao mapya kule wanaita naniu nini MINING TOWN huko amekutana na kina Mai Miao, Ma Defu, Li Jong, Xuan, eeh wote wapo uko kuna maji ya uzima makao mapya MBINGUNI Kuna makao mazuri

Rest Easy warumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…