Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo.
Ngoja tuone .
Ngoja tuone .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa sana !makocha wasaidizi wameenda na benchika kumsaidia kumuuguza shemeji yao, ulitaka matola nae aende?
Wewe jitokeze kushangilia timu, hayo mengine waachie wahusika.Haya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo.
Ngoja tuone .
Cha ajabu timu kapewa Mgunda , yeye yuko palepaleMakocha wa bei mbaya wanawekeana viengele vingi kwenye mikataba yao.
Matola ni mtoto wa nyumbani, sidhani kama anavuta hata 20m mshahara.
Mwacheni achote mbinu za makocha wanaokuja na kupita.
Huyu ndiye xabi Alonso ajaye.
Hii comment imenichekesha sanaKama viongozi wanafikiri Matola hujifunza chechote kutoka kwa makocha wageni wanajidanganya.
Huenda amewekwa hapo kama kocha msaidizi lakini ana majukumu mengineCha ajabu timu kapewa Mgunda , yeye yuko palepale
yupoHaya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo.
Ngoja tuone .
Weeeeee !!!Jamaa ni usalama wa Taifa ana kazi maalumu hapo Simba
Nikikupa list Yao utachoka zaidi Mexime ndaniWeeeeee !!!
Mshirikina hawezagi kujiongeza zaidi ya kuandama waganga na kingaKama viongozi wanafikiri Matola hujifunza chechote kutoka kwa makocha wageni wanajidanganya.