GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Basi la Friends linalofanya safari zake kutoka Uganda kwenda mkoani Mwanza, limekamatwa mkoani Geita na Kikosi cha Kupambana na Magendo cha TRA, likiwa limebeba shehena ya vipodozi hatari vilivyopigwa marufuku kuingia nchini, pamoja na bidhaa ambazo zinadaiwa kupitishwa mpaka wa Mtukula kinyemela bila kulipiwa kodi ya serikali.
Chanzo: ITV Tanzania
Mbona Kawe Beach, Kunduchi Beach na Mbweni Beach 24/7 Vitu vya Magendo vinaingia mno na wala hamuwakamati?
Chanzo: ITV Tanzania
Mbona Kawe Beach, Kunduchi Beach na Mbweni Beach 24/7 Vitu vya Magendo vinaingia mno na wala hamuwakamati?