Kwahiyo mnaamshwa baada ya Matukio ya Mauaji kutokea na siyo kuchukua Tahadhari mapema ili Kuyazuia?

Kwahiyo mnaamshwa baada ya Matukio ya Mauaji kutokea na siyo kuchukua Tahadhari mapema ili Kuyazuia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Niwahakikishie wananchi sasa ulinzi upo wa kutosha na doria zipo, kama zilikuwa nne sasa hivi ziko 12 kwahiyo waweke ulinzi wa kutosha kwenye nyumba zao, hiki kilichojitokeza kimetuamsha," - Raia Nassor, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mzimuni Kawe.

Chanzo: EastAfricaTv

Kwa Viongozi Majuha kama hawa na wengi walioko katika Ngazi mbalimbali kwa Tanzania Kupiga hatua za Kimaendeleo haraka na Matukio ya Kiuhalifu kupungua itakuwa ni Ngumu na sawa na Ndoto za Alinacha tu.
 
Tatizo la hii nchi yetu kila kitu kinaendeshwa kisiasa. Inafikiwa wakati viongozi wanajisahau kuwa umauti na uhai haviendani na siasa kujikuta wanaweza hata kulaumu vitu ambavyo wao ndio walipaswa kuvisimamia ilitu kupata "political mileage'. Ni sawa na mtu kujichanja mwenyewe na kisu halafu kustaajabu kwanini damu inatoka na kuna kidonda.

Panya Road hawajaanza leo wala jana lakini kila tukio kubwa likitokea la mauji basi huchukuliwa ni kama kisa kipya kabisa na kila mwanasiasa anataka kuvuna point zake za umaarufu.
 
Back
Top Bottom