Kwahiyo mwanaume bila mambo haya huwezi tambulika kama wewe ni mwanamuziki au mwanamitindo?

Kwahiyo mwanaume bila mambo haya huwezi tambulika kama wewe ni mwanamuziki au mwanamitindo?

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Ili utambulike kua wewe mwanaume ni msanii wa music inabidi USUKE NYWELE,UTOBOE PUA NA MASIKIO UVAE VIPINI NA HERENI,UVAE NGUO ZENYE MUUNDO WAKIKE? (Usani,uanamitindo ni njia ya UCHOKO)
 
Huwa nawashangaa sanaa unakuta limbaba na ndevu zake limevaa heleni
 
Back
Top Bottom