Ni wazi sasa barakoa za vitambaa ndio 'habari ya mjini'. Sasa niwaulize wataalamu wetu wa afya, hizi barakoa zina uwezo wa kuzuia hivi virusi? Kama jibu ni hapana, sasa kwanini hamjachukua nafasi yetu badala yake mmeacha tu wananchi wazivae?
Au tunavaa barakoa ili iweje?
Au tunavaa barakoa ili iweje?