Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Unazifahamu satini Bonny au umeona tu mahali imeandikwa?Hizo surgical Mask ni kati ya 2500-3000 na unaambiwa uvae kwa masaa manne....
Average ya Mask 2 kws siku mwenye hyo elf 5 ya kila siku kwa ajili ya Barakoa nan??
Acha tupambane na satini zetu tu mkuu usiku unafua asubh unaitinga kama jana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app