Kwahiyo ndio tumeshakubaliana kwamba barakoa za vitambaa nazo zinatukinga?

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
1,351
Reaction score
2,079
Ni wazi sasa barakoa za vitambaa ndio 'habari ya mjini'. Sasa niwaulize wataalamu wetu wa afya, hizi barakoa zina uwezo wa kuzuia hivi virusi? Kama jibu ni hapana, sasa kwanini hamjachukua nafasi yetu badala yake mmeacha tu wananchi wazivae?
Au tunavaa barakoa ili iweje?
 
Zinawalinda zaidi wanaokuzunguka ili utakapokohoa virusi visiende mbali sana na hivyo kupunguza kasi ya kusambaa virusi
 
Hazina uwezo wa kuzuia virusi. Case closed.
 
Vip na zile za vitenge. Mana mafundi nguo wako busy kweli.
 
Nunua chapati Mask yako ya 250 na maisha yanasonga mbere..
 
Kwanza surgical mask unazipata wapi sasaivi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…